Monday, 28 December 2015

BARAKA DAH PRINCE - JICHUNGE

                INTRO
Heeo oheeo heeeoo

                VERSE 1:
Nitokapo si kutamu
Dharau na masengenyo ndo vilitawala
Sikuwa na hamu
vyote nilipokea na kusema hewara
Hakujua si sawa kumtusi mamba
Hajauvuka mto
Akajua upole na upendo wangu
Umeshakosa soko
De de daily sikutaka kuamini (kuamini)
Yeye mi wa kuntesa Mimi ooh ooh ooh
Daily sikutaka kuamini
Yeye mi wa kuntesa Mimii
Nenda zako nenda zako mi nshatulia hello
sasa yupo sasa yupo anayeulea moyo
Nenda zako nenda zako mi nshatulia hello
sasa yupo sasa yupo anayeulea moyoo

                CHORUS :
naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)
Baby naomba ujichunge (jichunge )
Usibadilike ukawa kama yulee

                 VERSE 2:
Sasa umejua kwanini,
Siwezi ondoka kwako
Ndo maana nimekula yamini
Tena nakula kiapo
We ndo wa mwisho kupendwa na moyo wangu
sihitaji tena kupepesa macho yangu
Karibu hata mbali penzi naomba uchunge
Vishawishi vya Mali visiondoke nawe
Daily we furaha ya Mimi ( ya Mimi )
Nawe zaidi ya raha ya Mimi ( ya Mimi )
Daily we furaha ya Mimiii
nawe zaidi ya raha ya mimii
OWeooo weooo oweoo oweooo weooo

                 CHORUS:
Naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)
Baby naomba ujichunge (jichunge)
Usibadilike ukawa kama yuleee

No comments:

Post a Comment