mh mh mh mh ohoo ohoo
Sitaki mizozo mh mh mh
CHORUS:
Eti nikuvumilie ( nivumilie )
Kushare na bwana yule
Acha dhamiri yako we (dhamiri yako we )
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie ( nivumilie )
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu we
Umefungwa kwako wewe eeh eeh
VERSE 1:
Labda sijui mapenzii
Ndo sababu ukakimbia
Au alikuwepo kitambo
Hukutaka kuniambia
Na kiherehere
Cha kupost vipicha
Wenzangu wananichora
Au ndo kusema hujui
Nilikuamini umeninyima amani
Eeeh eeeh eeee
Basi nikuelezee
Huko kulalama unaniumiza moyo
Ningekuwa na choyo
Nisingethamini upendo
Umejawa na lawamaaa
Ila ungenionea hurumaa
Wajua hali yetu mpenzi
Nisingeweza vumilia shida
Na kupretend,inaniumiza
Nakuweka wazi
Niambie nimuache aende
Na magari nirudishe
Wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke
Usimame kama mume
Basi niambie nimuache aende
Na magari nirudishe
Wazazi uwaambie
Kwenye nyumba watoke
Usimame kama mumee
CHORUS:
Eti nikuvumilie ( nivumilie )
Kushare na bwana yule
Acha dhamiri yako wee (dhamiri yako wee)
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie ( nivumilie )
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu wee
Umefungwa kwako wewe x 2
VERSE 2:
amini haya maneno nnayokwambia
Utaja nizingua aah
Mapenzi sio pesa ila ikikosekana
Yanapungua
Kwanini nikuangalie mpenzi we
Ukitoka na mwengine
Unipe pesa za yule nitumie
Utanipenda kwa lipi
Eeh eeh eeh
Habari ya mapenzi,niulize Mimi
We upo moyoni
Kelele za nini,nakuheshimu niamini
Vumilia kidogo nimchune chune
Hivi ndo mwanaume gani
Husifiwa mapenziii
Kupeleka vijizawadi vyangu
Naona aibu ( usijali beibi )
Hali Yangu ni vibajaji
Mwenzang uzungu nitakuweza wapi
Samaki machozi baharini
Hata nikifanya uoni
Mi maumivu moyoni
Ntakuweza wapi
Samaki machozi baharini
Hata nikifanya uoni
Mi maumivu moyoni
eti nikuvumilie
Masimango ya nini
Akijua mi mwenzie nitauwawa yamkini
CHORUS :
eeh eeh eti nikuvumilie ( nivumilie )
Kushare na bwana yule
Acha dhamiri yako wee ( dhamiri yako wee )
Ikusute unihurumie
Wewe nivumilie ( nivumilie )
Nakupenda sana wewe
Hata moyo wangu we ee iyee
Umefungwa kwako wewe
No comments:
Post a Comment