Iyee he.! Mamie Mamie
Mamie mamiee
Dadie dadie
Iyee he.! Mamie Mamie
Mamie Mamie
Dadie dadie
Mie mie mie
Mie mie mie
Mieee
VERSE 1:
Mbona kama unanioneaa
Haya mapenzi gani..!?
Kila siku lazima nibembelezee
Lini sasa mpenzi Wangu
Na wee utanibembeleza
Na Mimi nisikie unavosikiaga
Nikikubembeleza
Ona kaneno mapenzi kaneno kafupi
Kana mambo mengi unaempenda
Akakuzinguaa
Si bora angesema hata mapema
Ameniacha nimezama
CHORUS:
Kutoka sasa nashindwa ( shindwa )
Nashindwa Alee kutoka Mimi
Nashindwa ( shindwa yee )
Aaa nashindwa shindwa (nashindwa )
Sijui nifanye ninii ( nashindwa )
Mama weeee
VERSE 2:
Angejua kabisa ninavyompendaa
Sijawahi kupenda ndo yeye
Wa kwanza ananizuzua
Si bora angesema hata mapema
Ameniacha nimezama
CHORUS:
Kutoka sasa nashindwa ( shindwa )
Nashindwa Alee kutoka Mimi
Nashindwa ( shindwa yee )
Aaah nashindwa shindwa( nashindwa )
Sijui nifanye ninii ( nashindwa )
Mama wee
Mie mie mie ( mieeee )
Mie mie mie (Mimi ) x 4
VERSE 3:
Ghafla tu anafunga virago
Namuuliza hataki kusema
Tatizo ni nini
Sijui kuna shida gaanii
Haya mapenzi lawama
Kila siku Mimi
Tulia mama,mi ni wako
Nakupenda sana
Usihangaike,usibabaikee eeh
Na wale maadui,nataka ubaki na mii
We ni wangu,mi ni wako mpenzi wako
Punguza maringo na mapozi nakupenda
We ni Wangu,mi ni wako mpenzi wangu
Punguza maringo na mapozi nakupenda
Iyee i say
Mamie Mamie eeh
Dadie dadie. X2
No comments:
Post a Comment