Tatarara
Orararara
VERSE 1:
Ghafla visenti sina nimerudi tandalee
Nimeshindwa kulipa bima
Nimeuza madaree
Redioni nyimbo wamezima,
TV ndio hataree,umeneja umebaki jina
Hanitaki hata tale
Ooh wale shabiki zangu,walionisifu
Kwa maneno matamuu
Leo maadui zangu,ni mitusi tu
Kwa instagramu,
Kimwana si dadaangu,
Eti Leo hanifahamu,hata Harmonize
Nkimpigia ananifokea kama salamuu
Na magazeti nyumbani kwa kukuza habari
Si unajuaga,utasikia tafarani
Eti mondi kwa zari amemwagwa
Na vile nilivomnyonge tabia ya kuwajibu
Sinaga,kama naiona michambo
Ya mademu wa zamani,nliowapitiaga
Ooh nayosema yana maana
Sababu hakuna anayeijua kesho
Alopanga ni labana,ila ameificha
Ni confidential,ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa Jana
Ndo adui mkubwa kesho
CHORUS:
Lalalalalalala je utanipendaga
Lalalalalalala au nawe utanimwaga
Lalalalalalala eti utanipendaga
Lalalalalalala
VERSE 2:
Ooh bado nawaza sana,
Zile tunzo mashauzi airport
Je itapofika tama,
Utadiriki hata japo kuniposti
Pindi show zimekwama,
Nikipata sijazi ni mikosi
Ooh jahazi limezama
Mola ninusuru baba
Kama namwona mwanangu roho Yang
Tiffah dangote,anakwenda na mamangu
Kwa jakaya kikwete wanafukuzwa
Watoke,usilie Sandra wangu
Mboni yangu jikaze usichoke
Huenda kesho zamu yangu
Ntavuma tena mambo yanyooke
Eeh na magazeti ya nyumbani
Kwa kukuza habari si unajuaga
Utasikia tafarani eti mondi kwa zari
Amemwaeeeh eeh eeh
Na vile nilivo mnyonge tabia
Ya kuwajibu sinaga
Kama naiona michambo ya mademu
Wa zamani yani kedekede
Lalalalalalala
Onananananana
Lalalalalalala
Olalalalalalala
Eeh olalalilala ooh
Asee
Kama namwona mwanangu,roho yangu
Tiffah dangote,anakwenda na mamangu
Kwa mkubwa fela wanafukuzwa watoke
Usilie Sandra wangu,mboni yangu
Jikaze usichoke,huenda kesho zamu Yang
Ntavuma tena mambo yanyooke
Nayosema yana maana
Sababu hakuna anayeijua kesho
Anayepanga ni labana
Ila ameificha ni confidential
Ukisali omba sana
Mumeo nisije kuwa kichekesho
Maana rafiki wa Jana
Ndio adui mkubwa kesho
No comments:
Post a Comment