Saturday, 26 March 2016

BEN POL FT JUX - NAKUCHANA

                    VERSE 1:BEN POL
Oya oya oya ey,mi nataka unisikilize
Oya oya oya ey,nimekuja tuzungumze
      
                     JUX
Sema sema sema Ben pol
Huwa napenda nyimbo zako
Ila tatizo mavazi yako,
Una sahau kama we Ni msanii

                     BEN POL:
Ninavyovaa na kuimba wapi na wapi
midosho china kwani shingi ngapi..!?
We una sifa mi naimba
Nenda uliza shabiki wako wapi

                     JUX:
unachelewa kaka,punguza ushamba sasa
Mziki biashara natengeneza hela
Hauna mashabiki tenaa

                    CHORUS:
( Nakuchana )x4 Leeoo
( Nakuchana )x4 Nakuchanaa
( Nakuchana )x4 nakuchana Leo hii,nakuchana Leo hii
( nakuchana )x4 mi nakuchana

                     VERSE 2: JUX
By the way,natafuta msanii wa kumsaidiaa
Niambie video ya mwisho nani kakulipia

                      BEN POL:
Nafanya shows kila mwaka
wapi we unapata pesa
Stori zako nshazipata
Unalelewa na Vanessa

                     JUX:
Mi mfanyabiashara,
Toka long time,wala sio mwenzako
Mashabiki nimekupora,
Hata last time nimechukua tuzo yako

                    BEN POL:
Ngoma ya kitoto haikeshi
Subiri next time,naandaa dozi yako
hata hizo gari na pesa
Mbwembwe za bling bling
Mshukuru sana Ex wako ( jack )

                  CHORUS:
( Nakuchana )x4 leeoo
( Nakuchana )x4 nakuchana
( Nakuchana )x4 Nakuchana Leo hii,nakuchana Leo hii
( Nakuchana )x4 Nakuchanaa

                      
             

No comments:

Post a Comment