VERSE 1: Ray
Nawaza kwanini sikumjuaga zamani
( Ooh mama )
Pendo lake zito mpaka lavunja mizani
( Ooh mama )
yeye na Mimi kacho nisharuka nyie
( ooh mama )
Wasiojua mapenzi pole jamani
Eti alikuwa bachelor aibu gani
Harmonize:
Aliyeumba dunia,akayaumba na mapenzi
Wala hakukosea,ila mwenzenu mi cwezi
Nilishapenda,ila nikatendwa
Moyo ulidunda,masikini roho
Mbona nilikonda,licha ya kuhonga
kuweka vibanda,nishaomba poo
Mwenzangu bado ujajua,baki unicheke
Kwako yamechanua Ngoja yanyauke
Ray
Andazi si kitumbua,acha mapepe
Ukipendwa tanua,kwanini nsideke
CHORUS :
Ray
Jama nimependa mimi,nimependa Mimi
Nimependa Mimi,nataka nimuweke ndani
Harmonize
Mwenzako nimetendwa mie,nimetendwa mie
Nimetendwa mie,mapenzi siyatamani
Ray
Jama nimependa Mimi,nimependa Mimi
Nimependa mimi,nataka nimuweke ndani
Harmonize
mwenzako nimetendwa mie,nimetendwa mie
Nimetendwa mie,mapenzi siyatamani
VERSE 2: Ray
Ana mapenzi ya bara kachanganya na pwani
Vipi nitajinasua..!? rangi kama chotara
shepu sio mjapani, marashi huzibi pua
Aaah Ameumbika sina budi nisifie
akipika natamani nilipie
sehemu ya upanga uliweka kiwembe
ndo maana mwasi akaona ajichenge
Harmonize
Kwa wenzako sikia,sikia Mwana
Ila kwako utalia utalia sana
Mi nilikuwaga fundi,fundi zaidi yako
Power ka milundi,nikiganda kama sumako
nakutia pesa madegeje,asiniache
Nikamchanganya akolee,asiwake
Penzi upepo Wa bahari,Mara kusi shwari
Yakichange hatari,na usiombe
CHORUS : Ray
Jama nimependa Mimi,nimependa Mimi
nimependa Mimi,nataka nimuweke ndani
Harmonize
mwenzako nimetendwa mie,nimetendwa mie
Nimetendwa mie,mapenzi siyatamani
Ray
Jama nimependa mimi,nimependa Mimi
Nimependa Mimi,nataka nimuweke ndani
Harmonize
mwenzako nimetendwa mie,nimetendwa mie
nimetendwa mie,mapenzi siyatamani
( OUTRO ) Ray
nimependa Mimi,nimependa mimi
Nimependa Mimi,nimependa Mimi
Harmonize
Nimetendwa mie,nimetendwa mie
Nimetendwa mie,nimetendwa mie
No comments:
Post a Comment