Monday, 28 December 2015

BARAKA DAH PRINCE - JICHUNGE

                INTRO
Heeo oheeo heeeoo

                VERSE 1:
Nitokapo si kutamu
Dharau na masengenyo ndo vilitawala
Sikuwa na hamu
vyote nilipokea na kusema hewara
Hakujua si sawa kumtusi mamba
Hajauvuka mto
Akajua upole na upendo wangu
Umeshakosa soko
De de daily sikutaka kuamini (kuamini)
Yeye mi wa kuntesa Mimi ooh ooh ooh
Daily sikutaka kuamini
Yeye mi wa kuntesa Mimii
Nenda zako nenda zako mi nshatulia hello
sasa yupo sasa yupo anayeulea moyo
Nenda zako nenda zako mi nshatulia hello
sasa yupo sasa yupo anayeulea moyoo

                CHORUS :
naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)
Baby naomba ujichunge (jichunge )
Usibadilike ukawa kama yulee

                 VERSE 2:
Sasa umejua kwanini,
Siwezi ondoka kwako
Ndo maana nimekula yamini
Tena nakula kiapo
We ndo wa mwisho kupendwa na moyo wangu
sihitaji tena kupepesa macho yangu
Karibu hata mbali penzi naomba uchunge
Vishawishi vya Mali visiondoke nawe
Daily we furaha ya Mimi ( ya Mimi )
Nawe zaidi ya raha ya Mimi ( ya Mimi )
Daily we furaha ya Mimiii
nawe zaidi ya raha ya mimii
OWeooo weooo oweoo oweooo weooo

                 CHORUS:
Naomba ujichunge (we jichunge)
Usibadilike ukawa kama yule (kama yule)
Baby naomba ujichunge (jichunge)
Usibadilike ukawa kama yuleee

Sunday, 27 December 2015

JUX - ONE MORE NIGHT

                       CHORUS:
Ooh baby ooh baby ooh baby hee
One more night,i need one more night
( One more night )
Ooh baby ooh baby ooh baby hee
One more night,i need one more night
( one more night )
                        VERSE 1:
Niskize mami,niskize mwenzio ooh
Nina kaneno kazuri japo kadogo
Kananitesa moyoni,ntapona nikisema
Ntaumia ukipuuza,usidharau mami
Bila wewe,maisha yangu yako Pima
Taa yangu itazima
Bila wewe,nilionja sijashiba
Nipe tena nitapona
Bila wewe,maisha yangu yako Pima
Taa yangu itazima
Bila wewe,nilionja sitoshiba
Nipe tena nitapona
                      CHORUS:
Ooh baby ooh baby ooh baby hee
One more night,i need one more night
( One more night )
Ooh baby ooh baby ooh baby hee
One more night,I need one more night
( One more night )
                     VERSE 2:
Natamani tamani sijui nini ( Anhaa aah )
Nimelewa na sijui umenipa nini (Anhaa aah )
Labda uzuri wako (anha anha ) kicheko chako (anha)
Ni tamu penzi lako ( anha anha )
Mama mwendo wako,
Labda uzuri wako (Anha anha  ) kicheko chako
Ni tamu penzi lako
Mama mwendo wako
Bila wewe,maisha yangu yako Pima
Taa yangu itazima
Bila wewe,nilionja sijashiba
Nipe tena nitapona
Bila wewe maisha yangu yako Pima
Taa yangu itazima
Bila wewe,nilionja sitoshiba
Nipe tena nitapona
                   CHORUS:
Ooh baby ooh baby ooh baby hee
One more night,I need one more night
( One more night )
Ooh baby ooh baby ooh baby hee
One more night,I need one more night
( One more night )
                  OUTRO
Dele dele dele deina
Dele dele dele deina
Dele dele dele deina
Dele
Dele dele dele deina
Dele dele dele deina
Dele dele dele deina
Dele ( anha )
                    CHORUS:
One more night,I need one more night
( One more night ) ooh hoo hoo hoo hoo hoo
One more night,I need one more night
( One more night )
One more night
I need one more night ( one more night )
One more night ( one more night )
I need one more night ( one more night )
Oooh mmh hee

JOH MAKINI FT AKA - DON'T BOTHER

                  INTRO:
Don't bother
Don't bother
Don't bother ( Nahreel on the Beat )

                  CHORUS:
Tabasamu juu ni meza  ya Ma Brother
Don't bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don't bother
Daraja mbili ngarero (ngarero )
Daraja hili hawadandii masoro
Don't bother
Daraja mbili ngarero ( ngarero )
Daraja hili hawadandii masoro
atii Don't bother

              VERSE 1:
Naskia kuna tuzo
Mpo kwenye list?
Naskia mnabebwa
Kwenye maplaylist?
Naskia mna undugu
Na hawa journalist?
Na vipi kuhusu hizi beef
Za kule na huku?
Sijui kuhusu beef chief,mi nafuga kuku
Wapi? Nani? Lini?
Who? When? Why?
Who am I? Maswali ya kispy
Una Wi-Fi,wi- fi sina chief
Mi Niko na wife
unaandikiwa na Niki?
Siijui hio kalamu Jomba Naandikia Bic
unatoa nyimbo nyingi?
Sikumbuki kutoa nyimbo mi natoaga Hit
Eti who am I?

                    CHORUS:
Tabasamu juu ni meza ya ma brother
Don't bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don't bother
Daraja mbili Ngarero (ngarero )
Daraja hili hawadandii masoro
Don't bother
Daraja mbili ngarero (ngarero)
Daraja hili hawadandii masoro
Don't bother

                    VERSE 2:
Woooosah.!!
I Tell 'em niggas don't bother
I be in that east coast getting more zaga
I be in the lane on my four- fivers
In the class spend the rands
On my gold bottles yah
I'm with joh on this track
Tz make a star I be going hard
Ain't it funny how these niggas
used to hate?
Now I'm triple 7 got ugali in my plate
Bosi si kelele,Mungu ibariki
Spit the accapela,speed kusaka hela
Keep it super mega
Long way if i drop kutafuta hela
Mbegha ta.. ta.. ta..tava the combo
JHP that's my strong hold ( my strong hold )
Don't bother
 
                     CHORUS:
Tabasamu juu ni Meza ya mabrother
Don't bother
Toto mbili Tatu kutia ladha
Don't bother
Daraja mbili ngarero ( ngarero )
daraja hili hawadandii masoro
Don't bother
Daraja mbili ngarero ( ngarero )
Daraja hili hawadandii masoro
Don't bother

                    VERSE 3:
Silazi msingi pale shamba
usikae kile
Nanunua shamba heka
Na trektale
mchaga na mpare
Mchungu na hela ndo jadi
you can't separate ( separate )
check tarehe,ID uliobarehe
Ushakuwa mtu mzima
Tena huwezi ombale ( ombale )
watu watakusaga
Kama go bale
Rip Larry Barehe
Sinoni Daraja bee
kimya si we ni looser ,get it?
Unaleta gere ndo gere inazidi bamba
Gere,we ni mbuzi utakula kwa urefu wa kamba
Gere tulizipanga
juu tulisanda
kutumia na kiringiringi
Ni kukata ringiringi
ili shilingi lingi ziwe mingimingi
Kwenye matumizi huna wala
usiwe dingidingi
mi natengeneza waleta
Mboyoyo mingimingiiiii
Hoooool up

Kabugu de wenesi
Play your position
Don't get too comfortable with us
Realest nigga is what I see in the mirror
Business business
I'm getting bigger and bigger
            ( oh! Lord )
 
                 CHORUS:
Tabasamu juu ni meza ya mabrother
Don't bother
Toto mbili tatu kutia ladha
Don't bother
Daraja mbili ngarero ( ngarero )
Daraja hili hawadandii masoro
Don't bother
Daraja mbili ngarero (ngarero )
Daraja hili hawadandii masoro
Don't bother

                 OUTRO
Stealing the show,we take it from you
             ( Aya ya ya ya ya )
Double the session,double the money
              ( Woozaah )
She feeling my flow,I'm taking your honey
              ( Aya ya ya ya ya)
What do you thought?
You can't tell me nothing ( Woozaah )
                Aaaah!!

  Nahreel on the beat  huh!
              -The Industry.

Thursday, 24 December 2015

HARMONIZE - AIYOLA

Aiyoo aiyola iyee aiyola mama
aiyoo aiyola mmh

            Verse 1:
Nilifundishwa na bibi
Kijijini jinsi ya kupenda
Na mwanamke hapigwi
Na ngumi ila upande wa kanga
Tena mapenzi siyo league
nikakubali kushindwa
Mi sikufunzwa viraji
Sishindani risasi kwa panga
Nyuma nilikuthamini
Mengi nikakusevia
Sitosema hadharani
Wengi wakayasikia
Sio wakunipanda kichwani
hukumbuki tulipotokea
Na kunishusha thamani kipi nilichokosea
ingawa kidogo nlichopata
Nikajinyima uridhike
Ila hukujali ukanikatili moyo
majirani walinicheka ulipoforce nipike
aah sio siri ilinivunja moyo
ooh kisirani ugomvi bila chanzo
ni kweli uko moyoni
sina budi nilivue pendo
Ingawa kishingo upande

              CHORUS:
Aiyo aiyola iyee ( sitoforce unipende )
Aiyo aiyola iyee ( kishingo upande )
Aiyo Aiyola iyee ( basi bora uende )
Aiyo aiyola iyee

               VERSE 2:
Sitosema mapenzi basi
Nimeumbwa na moyo
Moyo wenye matamanio na unapenda pia
Ila nitaijutia nafsi,nilikufanya chaguo
Aaahh chaguo la moyo kumbe ulipita njia
Nilivyowanyima ndugu
Visiri nikakutunzia
usije leta vurugu akili ukaitibua
Najuta kujitia bubu,sitaki vya kusikia
Kisa pendo unisurubu mengi nishayafumbia
nyuma nilikuthamini,mengi nikakusevia
Sitosema hadharani wengi wakayasikia
Sio wakunipanda kichwani
hukumbuki tulipotokea
Na kunishusha thamani,kipi nilichokosea
ooh kisirani ugomvi,bila chanzo
Ni kweli uko moyoni sina budi
Nilivue pendo
Ingawa kishingo upande

                CHORUS:
Aiyo aiyola iyee ( sitoforce unipende )
Aiyo aiyola iyee (ooh kishingo upande ) mama
Aiyo aiyola iyee ( basi bora uende )
Aiyo aiyola iyee ( ingawa kishingo upande )
Aiyo aiyola iyee ( sitoforce unipende )
Aiyo aiyola iyee ( ooh kishingo upande )
Aiyo aiyola iyee  ( basi bora uende )
Aiyo aiyola iyee ( kishingo upande kishingo upande )
Aaah na maximizo
Harmonize baby Harmonize baby

Tuesday, 22 December 2015

CASSIM MGANGA FT C.BELLA - SUBIRA

                         VERSE 1:
Wasikitika usije vunja shingo yo mama
Na huko kusononeka usije ita mapaka Leo
wakaja kukuparura,ukapoteza uzuri wako
Na ukija ukiolewa,usipendeze kwa mume wako
owohoo ayayayayayaa
Na ujichunge sana maana utajichakaza
Na ulipunje ujana maana utakuchakaza
Subiri subira yako maioo
ipo mikononi mwake mola baba
Subiri subira yako mamito
Ije mikononi mwako mafungu saba
Anayetoa ni mola pekee yeye
kwa kila goti na dua anajibu yeye

                      CHORUS:
Usijeitaka harusi kwa pupaa
Usije itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
usikimbilie mume ukaukondesha moyo x2

                      VERSE 2:
kuwa na subira usiwe na pupa ooh
mola amekuumba na sifa kedekede
ukimwomba yeye atakusikia
jiamini mama usiwe na mapepe
ma ma mapepe ma ma mapepe
Punguza mapepe ma ma mapepe

Ya nini utungule angali mume majaliwa
Kwanini ujichoreshe,na Mali yako yaliwa
utabeba vibovu upewe maradhi
Kukimbilia mapenzi
uje upate tabu kwenye mavazi
Uyachukie mapenzi
Anayetoa ni mola pekee yeye
kwa kila goti na dua anajibu yeye

                          CHORUS:
Usije Itaka harusi kwa pupaa
Usije Itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usije itaka harusi kwa pupaa
Usije itaka harusi ukarudi na talaka
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo
Usikimbilie mume ukaukondesha moyo.

Monday, 21 December 2015

BARAKA FT RUBY - NIVUMILIE


                        mh mh mh mh ohoo ohoo
                        Sitaki mizozo mh mh mh
          
                                            CHORUS:
                        Eti nikuvumilie ( nivumilie )
                        Kushare na bwana yule
                        Acha dhamiri yako we (dhamiri yako we )
                        Ikusute unihurumie
   
                        Wewe nivumilie ( nivumilie )
                        Nakupenda sana wewe
                        Hata moyo wangu we
                        Umefungwa kwako wewe eeh eeh

                                             VERSE 1:
                       Labda sijui mapenzii
                       Ndo sababu ukakimbia
                       Au alikuwepo kitambo
                       Hukutaka kuniambia
                       Na kiherehere
                       Cha kupost vipicha
                       Wenzangu wananichora
                       Au ndo kusema hujui
                       Nilikuamini umeninyima amani
                       Eeeh eeeh eeee
  
                       Basi nikuelezee
                       Huko kulalama unaniumiza moyo
                       Ningekuwa na choyo
                       Nisingethamini upendo
                       Umejawa na lawamaaa
                       Ila ungenionea hurumaa
                       Wajua hali yetu mpenzi
                       Nisingeweza vumilia shida
                       Na kupretend,inaniumiza
                       Nakuweka wazi
                       Niambie nimuache aende
                       Na magari nirudishe
                       Wazazi uwaambie
                       Kwenye nyumba watoke
                       Usimame kama mume
                       Basi niambie nimuache aende
                       Na magari nirudishe
                       Wazazi uwaambie
                       Kwenye nyumba watoke
                      Usimame kama mumee

                                          CHORUS:
                      Eti nikuvumilie ( nivumilie )
                      Kushare na bwana yule
                      Acha dhamiri yako wee (dhamiri yako wee)
                      Ikusute unihurumie
 
                      Wewe nivumilie ( nivumilie )
                      Nakupenda sana wewe
                      Hata moyo wangu wee
                      Umefungwa kwako wewe x 2

                                          VERSE 2:
                     amini haya maneno nnayokwambia
                     Utaja nizingua  aah
                     Mapenzi sio pesa ila ikikosekana
                     Yanapungua
                     Kwanini nikuangalie mpenzi we
                     Ukitoka na mwengine
                     Unipe pesa za yule nitumie 
                     Utanipenda kwa lipi
                             Eeh eeh eeh

                    Habari ya mapenzi,niulize Mimi
                    We upo moyoni
                    Kelele za nini,nakuheshimu niamini
                    Vumilia kidogo nimchune chune

                    Hivi ndo mwanaume gani
                    Husifiwa mapenziii
                    Kupeleka vijizawadi vyangu
                    Naona aibu ( usijali beibi )
                    Hali Yangu ni vibajaji
                    Mwenzang uzungu nitakuweza wapi
                    Samaki machozi baharini
                    Hata nikifanya uoni
                    Mi maumivu moyoni
                    Ntakuweza wapi
                    Samaki machozi baharini
                    Hata nikifanya uoni
                    Mi maumivu moyoni
                    eti nikuvumilie
                    Masimango ya nini
                    Akijua mi mwenzie nitauwawa yamkini

                                               CHORUS :
                      eeh eeh eti nikuvumilie ( nivumilie )
                      Kushare na bwana yule
                      Acha dhamiri yako wee ( dhamiri yako wee )
                      Ikusute unihurumie

                      Wewe nivumilie ( nivumilie )
                      Nakupenda sana wewe
                      Hata moyo wangu we ee iyee
                      Umefungwa kwako wewe
                        

BARAKA FT RUBY - NIVUMILIE


                        mh mh mh mh ohoo ohoo
                        Sitaki mizozo mh mh mh
          
                                            CHORUS:
                        Eti nikuvumilie ( nivumilie )
                        Kushare na bwana yule
                        Acha dhamiri yako we (dhamiri yako we )
                        Ikusute unihurumie
   
                        Wewe nivumilie ( nivumilie )
                        Nakupenda sana wewe
                        Hata moyo wangu we
                        Umefungwa kwako wewe eeh eeh

                                             VERSE 1:
                       Labda sijui mapenzii
                       Ndo sababu ukakimbia
                       Au alikuwepo kitambo
                       Hukutaka kuniambia
                       Na kiherehere
                       Cha kupost vipicha
                       Wenzangu wananichora
                       Au ndo kusema hujui
                       Nilikuamini umeninyima amani
                       Eeeh eeeh eeee
  
                       Basi nikuelezee
                       Huko kulalama unaniumiza moyo
                       Ningekuwa na choyo
                       Nisingethamini upendo
                       Umejawa na lawamaaa
                       Ila ungenionea hurumaa
                       Wajua hali yetu mpenzi
                       Nisingeweza vumilia shida
                       Na kupretend,inaniumiza
                       Nakuweka wazi
                       Niambie nimuache aende
                       Na magari nirudishe
                       Wazazi uwaambie
                       Kwenye nyumba watoke
                       Usimame kama mume
                       Basi niambie nimuache aende
                       Na magari nirudishe
                       Wazazi uwaambie
                       Kwenye nyumba watoke
                      Usimame kama mumee

                                          CHORUS:
                      Eti nikuvumilie ( nivumilie )
                      Kushare na bwana yule
                      Acha dhamiri yako wee (dhamiri yako wee)
                      Ikusute unihurumie
 
                      Wewe nivumilie ( nivumilie )
                      Nakupenda sana wewe
                      Hata moyo wangu wee
                      Umefungwa kwako wewe x 2

                                          VERSE 2:
                     amini haya maneno nnayokwambia
                     Utaja nizingua  aah
                     Mapenzi sio pesa ila ikikosekana
                     Yanapungua
                     Kwanini nikuangalie mpenzi we
                     Ukitoka na mwengine
                     Unipe pesa za yule nitumie 
                     Utanipenda kwa lipi
                             Eeh eeh eeh

                    Habari ya mapenzi,niulize Mimi
                    We upo moyoni
                    Kelele za nini,nakuheshimu niamini
                    Vumilia kidogo nimchune chune

                    Hivi ndo mwanaume gani
                    Husifiwa mapenziii
                    Kupeleka vijizawadi vyangu
                    Naona aibu ( usijali beibi )
                    Hali Yangu ni vibajaji
                    Mwenzang uzungu nitakuweza wapi
                    Samaki machozi baharini
                    Hata nikifanya uoni
                    Mi maumivu moyoni
                    Ntakuweza wapi
                    Samaki machozi baharini
                    Hata nikifanya uoni
                    Mi maumivu moyoni
                    eti nikuvumilie
                    Masimango ya nini
                    Akijua mi mwenzie nitauwawa yamkini

                                               CHORUS :
                      eeh eeh eti nikuvumilie ( nivumilie )
                      Kushare na bwana yule
                      Acha dhamiri yako wee ( dhamiri yako wee )
                      Ikusute unihurumie

                      Wewe nivumilie ( nivumilie )
                      Nakupenda sana wewe
                      Hata moyo wangu we ee iyee
                      Umefungwa kwako wewe
                        

Sunday, 20 December 2015

DIAMOND- UTANIPENDA

                      Tatarara
                      Orararara

                                     VERSE 1:
                    Ghafla visenti sina nimerudi tandalee
                    Nimeshindwa kulipa bima
                    Nimeuza madaree
                    Redioni nyimbo wamezima,
                    TV ndio hataree,umeneja umebaki jina
                    Hanitaki hata tale
                    Ooh wale shabiki zangu,walionisifu
                    Kwa maneno matamuu
                    Leo maadui zangu,ni mitusi tu
                    Kwa instagramu,
                    Kimwana si dadaangu,
                    Eti Leo hanifahamu,hata Harmonize
                    Nkimpigia ananifokea kama salamuu
                    Na magazeti nyumbani kwa kukuza habari
                    Si unajuaga,utasikia tafarani
                    Eti mondi kwa zari amemwagwa
                    Na vile nilivomnyonge tabia ya kuwajibu
                    Sinaga,kama naiona michambo
                    Ya mademu wa zamani,nliowapitiaga
                    Ooh nayosema yana maana
                    Sababu hakuna anayeijua kesho
                    Alopanga ni labana,ila ameificha
                    Ni confidential,ukisali omba sana
                    Mumeo nisije kuwa kichekesho
                    Maana rafiki wa Jana
                    Ndo adui mkubwa kesho

                                              CHORUS:
                    Lalalalalalala  je utanipendaga
                    Lalalalalalala  au nawe utanimwaga
                    Lalalalalalala  eti utanipendaga
                    Lalalalalalala

                                                 VERSE 2:
                   Ooh bado nawaza sana,
                    Zile tunzo mashauzi airport
                    Je itapofika tama,
                    Utadiriki hata japo kuniposti
                    Pindi show zimekwama,
                    Nikipata sijazi ni mikosi
                    Ooh jahazi limezama
                    Mola ninusuru baba
                    Kama namwona mwanangu roho Yang
                    Tiffah dangote,anakwenda na mamangu
                    Kwa jakaya kikwete wanafukuzwa
                    Watoke,usilie Sandra wangu
                    Mboni yangu jikaze usichoke
                    Huenda kesho zamu yangu
                    Ntavuma tena mambo yanyooke
                    Eeh na magazeti ya nyumbani
                    Kwa kukuza habari si unajuaga
                    Utasikia tafarani eti mondi kwa zari
                    Amemwaeeeh eeh eeh
                    Na vile nilivo mnyonge tabia
                    Ya kuwajibu sinaga
                    Kama naiona michambo ya mademu
                    Wa zamani yani kedekede
                                       Lalalalalalala
                                       Onananananana
                                       Lalalalalalala
                                       Olalalalalalala
                                       Eeh  olalalilala ooh
                                       Asee
                    Kama namwona mwanangu,roho yangu
                    Tiffah dangote,anakwenda na mamangu
                    Kwa mkubwa fela wanafukuzwa watoke
                    Usilie Sandra wangu,mboni yangu
                    Jikaze usichoke,huenda kesho zamu Yang
                    Ntavuma tena mambo yanyooke

                             Nayosema yana maana
                              Sababu hakuna anayeijua kesho
                              Anayepanga ni labana
                              Ila ameificha ni confidential
                              Ukisali omba sana
                              Mumeo nisije kuwa kichekesho
                              Maana rafiki wa Jana
                              Ndio adui mkubwa kesho

Saturday, 19 December 2015

CHRISTIAN BELLA -NASHINDWA

                               Iyee he.! Mamie Mamie
                               Mamie mamiee
                               Dadie dadie
                               Iyee he.! Mamie Mamie
                               Mamie Mamie
                               Dadie dadie
                               Mie mie mie
                               Mie mie mie
                                    Mieee

                                                      VERSE 1:
                               Mbona kama unanioneaa
                               Haya mapenzi gani..!?
                               Kila siku lazima nibembelezee
                               Lini sasa mpenzi Wangu
                               Na wee utanibembeleza
                               Na Mimi nisikie unavosikiaga
                               Nikikubembeleza
                               Ona kaneno mapenzi kaneno kafupi
                               Kana mambo mengi unaempenda
                               Akakuzinguaa
                               Si bora angesema hata mapema
                               Ameniacha nimezama

                                                          CHORUS:
                               Kutoka sasa nashindwa ( shindwa )
                               Nashindwa Alee kutoka Mimi
                               Nashindwa  ( shindwa yee )
                               Aaa nashindwa shindwa (nashindwa )
                               Sijui nifanye ninii ( nashindwa )
                                              Mama weeee

                                                           VERSE 2:
                                Angejua kabisa ninavyompendaa
                                Sijawahi kupenda ndo yeye
                                Wa kwanza ananizuzua
                                Si bora angesema hata mapema
                                Ameniacha nimezama
                          
                                                           CHORUS:
                               Kutoka sasa nashindwa ( shindwa )
                               Nashindwa Alee kutoka Mimi
                               Nashindwa ( shindwa yee )
                               Aaah nashindwa shindwa( nashindwa )
                               Sijui nifanye ninii ( nashindwa )
                                                   Mama wee

                                Mie mie mie  ( mieeee )
                                Mie mie mie  (Mimi ) x 4
      
                                                             VERSE 3:
                                Ghafla tu anafunga virago
                                Namuuliza hataki kusema
                                Tatizo ni nini
                                Sijui kuna shida gaanii
                                Haya mapenzi lawama
                                       Kila siku Mimi
                              Tulia mama,mi ni wako
                                      Nakupenda sana
                                Usihangaike,usibabaikee eeh
                                Na wale maadui,nataka ubaki na mii
                              We ni wangu,mi ni wako mpenzi wako
                                Punguza maringo na mapozi nakupenda
                                We ni Wangu,mi ni wako mpenzi wangu
                                Punguza maringo na mapozi nakupenda
                                                         Iyee i say
                                                   Mamie Mamie eeh
                                                   Dadie dadie. X2
              

        
                              
                              
             

Friday, 18 December 2015

RUBY- NA YULE

                                         Verse 1 :
                         Mapenzi hayana mwenyewe,
                          Unaweza penda kijana au Mzee
                         Niite jina langu baby
                         Huenda nafsi yangu itapoa
                          Shika moyo wangu baby
                         Unavyokwenda mbio wewe utapoa
                                      Aaah  aah  aah
                           Kuna muda namwomba mungu angekuleta mapema
                         Ila bado sio mbaya,wewe ndo unayejua maumivu Yangu
                                               Hiiii baby
                          Ila bado sio mbaya wewe ndo unayejua maumivu Yangu
                           Siiko radhi unitoke machoniii
                          Tembea Nami ndotoni
                           Ntakuweka moyonii,bila hofu rohoniii ( baby )
                        
                                                   CHORUS :
                             Moyo wangu tembea na yule ( na yule )
                                             Ndo nampendaga
                              Macho yangu mtazame yule mtazame yule  eeh
                                              Namwamini sanaa
                                                  Oooh oooh oooh


                                                VERSE 2 :
                            Baby sitaki kutazama nyuma tenaa
                            Maumivu nilishayaona
                            Wengi walinipotezea muda
                            Hakuna nilichokipata
                                         Aaah  aah aah
                            Kuna muda namuomba mungu angekuleta mapema
                                          Oooh ooh ooh
                            Ila bado sio mbaya,wewe ndo unayejua maumivu Yang
                            Siiko radhi unitoke machonii
                            Tembea nami ndotoni
                            Eeh eeeh ntakuweka moyoniii,bila hofu rohoniii
                                          iii iii beibe
                            
                                                   CHORUS :
                             Moyo wangu tembea na yule ( na yule )
                                               Ndo nampendaga
                              Macho yangu mtazame yule eeh
                                                Namwamini sanaa
                                                     Oooh ooh ooh
                              Siwezi ukaubwe meishu yangu
                                       Yatanahimi ndotoni
                                           Iiih eeh eh here
                               Moyo wangu tembea na yule ( na yule )
                                              Ndo unampendaga
                               Macho yangu mtazame yule mtazame yule eeh
                                               Namwamini sanaa
                               Moyo wangu tembea na yule ( na yule )
                                                Ndo unampendaga
                               Macho yangu mtazame yule mtazame yule eeh
                                                 Namwamini sanaa